Wasambazaji wa Massey Ferguson: Matrekta imara yenye nguvu na gharama nafuu ya uendeshaji kwa wakulima wa Tanzania.
Miliki trekta la Massey Ferguson msimu huu. Lima shamba lako au fanya kilimo biashara leo.
Massey Ferguson 385 (4WD)
Nguvu kubwa ya udongo mzito na gharama nafuu za uendeshaji kwa kilimo biashara cha Kitanzania.
Chagua Trekta Lako Sasa
Jaza taarifa fupi za shamba lako upate ushauri wa trekta linalokufaa pamoja na makadirio ya mkopo.
Massey Ferguson 385 (4WD)
Sababu 5 Kuu za Kuchagua Kirasa Company Limited
Uzoefu wa miaka 13 ukikuhakikishia ulinzi wa uwekezaji wako wa kilimo.
Msaada wa Mikopo
Marejesho mepesi hadi miaka 3 kupitia benki zetu washirika.
Usajili Bure
Usajili rasmi wa trekta lako unafanywa bila gharama yoyote ya ziada.
Warranty Mwaka 1
Udhamini kamili kwenye Injini na Gearbox kulinda mtaji wako.
Vipuri Muda Wowote
Vipuri halisi vya Millat vinapatikana kwenye matawi yote nchini.
Mafundi Mikoani
Mafundi wataalamu waliopo karibu nawe msimu mzima wa kilimo.
Kirasa Company Limited: Mkombozi wa Mkulima wa Tanzania
Kwa zaidi ya miaka 13, Kirasa Company Limited imekuwa nguzo kuu ya kilimo-biashara nchini Tanzania. Sisi ni wasambazaji rasmi wa matrekta ya Massey Ferguson kutoka kiwanda cha Millat Tractors Limited kilichopo Pakistan na zana bora za kilimo.
Dira Yetu
Kuhakikisha kila mkulima nchini Tanzania anaaccess ya zana za kisasa za kilimo na matrekta imara yanayojilipia yenyewe ili kuondoa umaskini na kukuza uchumi.
Uhusiano na Benki Washirika
Tunashirikiana na benki mbalimbali nchini kutoa mikopo nafuu ya hadi miaka 3 kwa wakulima binafsi, vikundi na makampuni.
Miaka ya Uzoefu na Huduma Imara
Tukiwa na matawi Dar es Salaam (Ubungo HQ), Mwanza, Bariadi, Babati, Iringa na Mbeya, tunahakikisha mkulima hakwami msimu kwa kukosa huduma au vipuri.
Wasiliana na UongoziMatrekta ya Massey Ferguson (Millat Originals)
Chagua mashine imara inayolingana na ukubwa wa shamba lako na bajeti yako.
Massey Ferguson 375
Trekta lenye matumizi mazuri sana ya mafuta, bora kwa kilimo cha kati, usafirishaji na maandalizi ya mashamba hadi ekari 40.
- Injini imara ya Perkins 4-Cylinder
- Akiba kubwa ya Mafuta (Fuel Efficient)
- Marejesho ya Mkopo hadi Miaka 3
85 HP - 4WD (Baba Lao)
Massey Ferguson 385 (4WD)
Chuma cha kazi ngumu ("Baba Lao wa Shamba"). Nguvu ya Four-Wheel Drive inayoweza kukata udongo mzito na kukodishwa kwa faida kubwa.
- 4WD Traction kwa maeneo yenye mtelemko & udongo mzito
- Nguvu Kubwa ya Kuvuta Diski 3 au 4
- Inajilipia Haraka Kupitia Biashara ya Ukodishaji
Implements za Massey Ferguson (Millat Originals)
Zana imara za chuma kizito zilizoundwa maalum kufanya kazi vizuri na matrekta ya MF 375 na MF 385 kwenye udongo wa Tanzania.
Disc Plough (Plau ya Diski)
Imara sana kwa maandalizi ya awali ya udongo mzito, kukata mizizi na kupindua udongo kwa urahisi bila kukwama.
- Frame imara ya chuma kizito
- Mfumo rahisi wa kubadilisha angle ya diski
- Inafaa kwa MF 375 na MF 385
Disc Harrow (Rau ya Diski)
Zana maalum kwa ajili ya kulainisha na kuponda mabonge ya udongo baada ya kulima, na kuchanya mbolea shamba kwa haraka.
- Diski zenye meno (notched) na laini
- Kuponda mabonge haraka zaidi
- Bearing zilizofungwa kulinda vumbi
Tractor Trailer (Rema)
Rema imara za kusafirisha mazao, mbolea, au mchanga kutoka shambani hadi sokoni au ghalani bila usumbufu.
- Option ya Hydraulic Tipping (Inayojimwaga)
- Bodi yenye chuma kizito kisichobinda
- Tairi kubwa za kazi ngumu za vijijini
Seed Planter (Mashine ya Kupanda)
Inapanda mbegu (mahindi, maharage, alizeti, nk) kwa nafasi sahihi na kuweka mbolea kwa wakati mmoja kwa ufanisi wa hali ya juu.
- Kubana matumizi ya mbegu na mbolea
- Mfumo wa kupanda kwa mstari nyyoofu
- Kasi na kuokoa muda msimu wa mvua
Tractor Boom Sprayer
Nyunyizio kubwa la trekta kwa ajili ya upuliziaji wa sumu za magugu, wadudu, na mbolea ya maji kwa mazingira ya shamba kubwa.
- Nozzle za usahihi za kuzuia kupoteza dawa
- Tanki imara la plastic isiyoharibika na sumu
- Mikono inayofunguka kwa upana wa mita 10-12
Disc Ridger (Mashine ya Mituta)
Zana bora kwa ajili ya kutengeneza mituta safi kwa kilimo cha viazi, miwa, au mahindi bila kutumia nguvu kazi ya mikono.
- Kutengeneza mituta yenye kimo sahihi
- Mfumo unaoweza kurekebishwa upana wa tuta
- Chuma kizito kisichochoka haraka
Ofa Maalum ya Kirasa Pack!
Ukinunua trekta la Massey Ferguson kutoka Kirasa utapata na jembe la disc 3 BURE!
Vipuri Halisi vya Massey Ferguson (Millat Spares)
Usiruhusu trekta lako likae chini msimu wa kazi. Matawi yetu yote yana hifadhi ya vipuri halisi.
Filters & Maintenance Kits
Oil filters, Fuel filters, Air filters halisi.
Clutch Plates & Gears
Clutch assembly, Disc plates & Gearbox parts.
Fuel Injection Pumps
Pumps, Nozzles & Injectors za uzalishaji bora.
Hydraulic System Spares
Pumps, Control Valves & Lift arms components.
Unatafuta Kipuri Maalum cha Massey Ferguson?
Piga simu au tuma picha ya kipuri kupitia WhatsApp tukupatie kutoka tawi lililo karibu nawe.
Matawi ya Kirasa Company Limited
Tunakusogelea mkulima mahali ulipo kwa ajili ya mauzo, vipuri na matengenezo.
Iringa Tawi
Eneo la Kiwanda & Barabara Kuu ya Mbeya
Elimu na Stori za Massey Ferguson Tanzania
Jifunze mbinu za kilimo-biashara na kusikiliza stori za wakulima halisi waliofanikiwa na Kirasa.
Safari ya Zablon (Rufiji / Muhoro): Kutoka Sifuri Hadi Kumiliki Matrekta 5
Watu wengi wanalalamika hakuna ajira, lakini Ndugu Zablon (mkulima na mfanyabiashara wa Muhoro, Rufiji) aliamua kuona fursa kwenye kilimo cha matrekta. Alianza na trekta moja la Massey Ferguson kutoka Kirasa, na leo anamiliki zaidi ya matrekta 5 huku akitoa huduma za ukodishaji kwa kijiji kizima.
Usiwashe Trekta Lako Bila Kufanya Mambo Haya 3 Kila Asubuhi!
Ili kulinda injini na gearbox ya Massey Ferguson yako iweze kudumu kwa miaka mingi bila matatizo:
- Kagua kiwango cha mafuta ya injini (Engine Oil dipstick).
- Hakikisha maji ya radiator na mtego wa maji kwenye diesel filter viko safi.
- Kagua upepo wa tairi na ulegevu wa nut za magurudumu kabla ya kuingia shambani.
Tupo Tayari Kukuudumia Nchini Nzima
Tuma ujumbe, piga simu au tembelea tawi la Kirasa lililo karibu nawe leo.
Tuma Ujumbe wa Haraka
Mawasiliano ya Haraka
Nelson Mandela Road, Ubungo River Side, Dar es Salaam, Tanzania.
Matawi Yetu Yote:
Dar es Salaam (Ubungo HQ) | Mwanza | Bariadi | Babati | Iringa | Mbeya